[emoji23][emoji23][emoji23]kuna rafiki yangu aliwahi kuishi kule,,, anadai visima vya kule viko vzr sana,, hadi imepelekea kwenye nyumba za kulala wageni wameweka nailoni kwenye vtanda[emoji23][emoji23][emoji23], ndo ukute mnywaji ana kata kama kiluwi luwi...Uwiiiiiiiiii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kabila moja, kabila linaitwa Iraqw ila Mbulu ni sehemu ambayo ndiyo asili yetu ndio maana watu wanatuita wambuluWambulu na Wairaq si makabila mawili tofauti mkuu?? Au nachanganya madawa ni kabila moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Weekend kwangu ni njema sana, nafurahi walau tunabadilishana mawazo, tabasamu na vicheko vya hapa na pale.
Asante kwa Ki Iraqw wanasemajeNi kabila moja, kabila linaitwa Iraqw ila Mbulu ni sehemu ambayo ndiyo asili yetu ndio maana watu wanatuita wambulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa mkuu,,Wairaq wa town, wambulu wa bushi.....(wanavyojitofautisha wao)
consuela msaada kama nimeongopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inapendeza sana mkuu,,, kikubwa uzima mengine haya mbwembwe tu!!Weekend kwangu ni njema sana, nafurahi walau tunabadilishana mawazo, tabasamu na vicheko vya hapa na pale.
Wow
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna wanywa maji wanaopenda visima vyenye maji mengi.[emoji23][emoji23][emoji23]kuna rafiki yangu aliwahi kuishi kule,,, anadai visima vya kule viko vzr sana,, hadi imepelekea kwenye nyumba za kulala wageni wameweka nailoni kwenye vtanda
samahani km kuna mtu wa bk hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maji ni uhai mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kuna wanywa maji wanaopenda visima vyenye maji mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masau bwire nipoMbona sijaona ma supastaa humu jaman au hawatumii huu mtandao[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanafuga viboko