Kwem mkuu habari za jumapiliBrother, Mambo vip.?
Mwanzo mzuri sana
Nzuri mkuu mambo niaje
Gr8
Hahahaha hata ukiwaMtu nimemwambia Niko UK kapanick Ooh Mbona Unatumia Line ya Bongo, Mara Ooh sio kweli Sijui Nini, sasa nikiwa Ukonga Nitumie Line Ya wapi? 😕😡
Amun RaKwema kabsa mkuu,, tunamshukuru Mungu,,, Uwe na Jumapili njema pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahawa safi kabisa
Ok asante kwa ubuyu huuReal name mkuu,,,ukimuona popote wewe muite hvyo,,, anaitika bila wasiwasi na bashasha za kutosha tu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo fresh kabsa,, tunapambana tu,,, itakuwa poa sana bro.Bado napambana bro, nkirudi nakucheck Man. Mambo yanaendaje, Chief.?
Hakika tumshukuru yeye atupae uzima na afya teleSana mkuu,,, inapendeza kuona wote wazima,,, Mungu ni mwema hakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mrembo hujambo miss u sana
Mkuu mkuu
Poa mkuuNiaje