mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu rekebisha hapo sio chupuchupu ndio mipango ya kocha ushindi ni ushindi kumbuka hao walimpiga manure urinated game iliyopitamzee wa liver janammeponea chupuchupu
Lovefools mpo vizuri kwenye kujitapa,am waiting gemu yenu na man u mchapwe vizuriMkuu rekebisha hapo sio chupuchupu ndio mipango ya kocha ushindi ni ushindi kumbuka hao walimpiga manure urinated game iliyopita
AmenNENO LA LEO:
ISAYA 48:17
" BWANA, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni BWANA, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata"
Katika kuishi kwetu twapitia changamoto nyingi sana,ila BWANA anasema kuwa anatupitisha "darasani" ili kutufundisha,kutuonya na kutuelekeza ili Tupate Faida maishani.
Tukiyafuata mafundisho yake hapana Hasara.
TUKAWE DARASA LA BWANA.
[emoji1488][emoji1488]
On fireLiverpool View attachment 847329
Hakika ni jabali la siasa za RepbulicanMakamu wa rais wa zamani na mpinzani wa McCain kisiasa ingawa alikuwa rafiki wa muda mrefu Joe Biden amesema ushawishi wa mwanasiasa huyo "kwa Marekani haujafikia kikomo".
"Maisha ya John McCain ni ithibati tosha kwamba baadhi ya kweli hudumu," amesema kupitia taarifa. "Sifa nzuri. Ujasiri. Maadili mema.
"Maisha ambayo mtu ameishi akikumbatia maadili haya, huwa yanatoa kivuli (kuwa na ushawishi) kirefu. John McCain bila shaka kivuli chake kitakuwa kirefu sana."
Sio kweli nilikuwa naye mmoja mzuri sana mpka ilifikia hatua nilitaka kumuoa msukuma mweupe mrefu number nane acha kabisa
Safi sanaMTAPATA TABU SANAView attachment 847330