Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji raia wa England Tammy Abraham, 20, atakataa ofa ya mkopo kwenda Aston Villa ili kupigania nafasi yake huko Chelsea. (Sunday Mirror)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunajiandaa bradha tuanze safari maana ishakaribia
Mie na poti twakuombea mafanikio makubwa ya kukataliwa ili poti apate anatha chance ya kuleta samaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunajiandaa bradha tuanze safari maana ishakaribia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vitu visivyo na ukweli huwa havikumbukiki[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipa wa Manchester United David de Gea, 27, hayuko tayari kusaini mkataba mpya na kwa sababu mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispani yuko na kipengee cha kuvunja mkataba wake sawa na kiungo cha kati Mfaransa Paul Pogba na raia wa Chile Alexis Sanchez huko Trafford. (Sunday Mail)
 
Paris St-Germain wako tayari kuipa Tottenham ofa ya pauni milioni 100 kwa kiungo wa kati wa Denmark mwenye miaka 26 Christian Eriksen. (Sunday Express)
 
Anthony Martial, 22, yuko tayari kusalia Manchester United baada ya kuvunjwa moyo kufuatia klabu yake kukataa kumuuza kuambatana na matakwa ya meneja Jose Mourinho. (Sunday Telegraph)
 
Kiungo wa kati wa Arsenal wa Wales Aaron Ramsey, 27, anajianda kufuata mfano wa mcheaji mwenzake Mesut Ozil wa kusubiri hadi mwezi Januari kuwezesa klabu kushughulikia mkataba wake. (Mail on Sunday)
 
Klabu ya Ligue 1 ya Ufaransa Monaco inataka kumsaini kiungo wa kati wa Chelsea raia wa England Ruben Loftus-Cheek, 22, kwa mkopo wa msimu nwote. (Sun on Sunday)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…