Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Matumani wa Real Madrid kumsaini mshambuliaji mfarana wa klabu yA Paris St-Germain Kylian Mbappe, 19, yatatokAna na uchunguzi wa kifedha kwa upande wa Ufaransa. (AS - in Spanish)
 
Manchester United hawakufanya jitihada zozote za kumsaini beki mbelgiji Toby Alderweireld, 29, na beki raia wa England Danny Rose kutoka Tottenham msimu wa joto. (Sunday Mirror)
 
United wanaweza tena kutoa ofa kwa kiungo wa kati wa Roma raia wa Italia Lorenzo Pellegrini, 22, in January. (Sun)
 
West Ham wanatathmini ofa za mikopo kutoka vilabu vya AZ Alkmaar cha Uhpolanzi na kile cha Uhispania cha Eibar kwa beki wa England mwenye miaka 19 Reece Oxford. (Mail on Sunday)
 
Leicester wanapanga kumwendea mshambuliaji wa safu ya kati wa Blackburn Muingereza Bradley Dack, 24, mwezi Januari. (Sun on Sunday)
 
Kipa wa Manchester United David de Gea, 27, hayuko tayari kusaini mkataba mpya na kwa sababu mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispani yuko na kipengee cha kuvunja mkataba wake sawa na kiungo cha kati Mfaransa Paul Pogba na raia wa Chile Alexis Sanchez huko Trafford. (Sunday Mail)
 
TANZIA : Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amefariki dunia leo Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu .Mungu ailaze roho ya Marehemu mama Sugu Mahala pema peponi, wote tuseme #AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…