capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Mmmmmmmh
mangatara said:
mshana jr. Iki wateka tosho. Sio Yesu Kristo bali nu Yesu Kristu. Usiulete u Protestant wako kwenye uzi huu wa Kikatoliki tu
TANZIA: Askofu Mstaafu jimbo Katoliki Bukoba, Nestor Timanywa afariki dunia - JamiiForums
Yenyewe inatibu kifafa.Mara ya kwanza kabisa kukuona niligugo hilo jina. Nikakuta kumbe ni dawa ya kifafa. Mpaka leo sijapata jibu ni kifafa au degedege ipi unayotibu. Ni ile ya kichwa kikubwa au ile ya kichwa kidogo? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Hiko kiatu kiko fiti[emoji7][emoji7]Leo ni zamu ya tuvimbaumbau [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 849567
Tena cha hatari sana. Shemeji yangu Mwakaleli angekuwepo hapa angetoa ushahidi. Uji ukizidi ni shida [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Yenyewe inatibu kifafa.
Kwani kichwa kidogo kinapata degedege?[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari mbaya hii.I hope siyo ishu za mapenzi...
Depression is a hell of a disease...
Our mental services suck ....
RIP Mtawa...
View attachment 849589
Kama hamtoi hela ili kupata hela hamuwezi kupata hela. Hali kadhalika kama hutoi likes ili kupata likes huwezi kupata likes...Tunatafuta hela tunakosa na likes iwe shida! Aya nimeijia likes zangu hapa
Jama kwenye huo uzi kaleta zengwe mfyuuuu zake mbaguzi tu wakati kuna msiba na kila mtu umemgusa
Ni nini? Ni ishu za mapenzi kama tulivyozoea au ni haya madepression ambayo hata ukienda hospitalini unaishia tu kuambiwa eti uwe tafu. Apumzike salama mtawa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wala sikufuatilia huo uzi. Ubaguzi wa kidini ama? Kuna watu huwa hawawezi kuficha hisia zao hata kwenye misiba...Jama kwenye huo uzi kaleta zengwe mfyuuuu zake mbaguzi tu wakati kuna msiba na kila mtu umemgusa
mangatara said:Wala sikufuatilia huo uzi. Ubaguzi wa kidini ama? Kuna watu huwa hawawezi kuficha hisia zao hata kwenye misiba...