Sidhan kama ni mapenzi,sista alikua mkurugenzi wa pesa hosp ya bugando nadhan itakua ishu ya pesaNi nini? Ni ishu za mapenzi kama tulivyozoea au ni haya madepression ambayo hata ukienda hospitalini unaishia tu kuambiwa eti uwe tafu. Apumzike salama mtawa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yeah! Tayari kuna mahali nimesoma eti alikuwa amekomba milioni 700. Si ajabu katapeliwa na wajanja na mzigo ukamwangukia yeye. Sad. Very sad [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sidhan kama ni mapenzi,sista alikua mkurugenzi wa pesa hosp ya bugando nadhan itakua ishu ya pesa
Mimi pia. Ni drama tu kama za Gwajima [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Mimi sikuelewa kuwa wameambiwa amefariki halafu wakarudi naye nyumbani.
Aisee, kazi kweli kweli.Yeah! Tayari kuna mahali nimesoma eti alikuwa amekomba milioni 700. Si ajabu katapeliwa na wajanja na mzigo ukamwangukia yeye. Sad. Very sad [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Teh teh[emoji16][emoji16][emoji16]Tena cha hatari sana. Shemeji yangu Mwakaleli angekuwepo hapa angetoa ushahidi. Uji ukizidi ni shida [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Mmh!
Akina nani hao wanawake maana mie nikimuona mende tu ni kumsaka na kumpa hata kibao*Panya[emoji232] anamuogopa paka[emoji250]*
*Paka[emoji250] anamuogopa mbwa[emoji240]*
*Mbwa [emoji240] anamuogopa mwanaume [emoji1351]*
*Mwanaume[emoji1351] anamuogopa Mwanamke[emoji1464]*
*HUWEZI AMINI*
*_Mwanamke anaogopa MENDE*
[emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waaaow asantee
Hata mie mwenyewe nimeshangaa,hosp gan hio isiyoa na taratibu za kitabibuMimi sikuelewa kuwa wameambiwa amefariki halafu wakarudi naye nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie pia,mzimaa?Okay, my dada. Nilikumiss sana.
God's Plan.
KabisaaMimi pia. Ni drama tu kama za Gwajima [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Maskin daahYeah! Tayari kuna mahali nimesoma eti alikuwa amekomba milioni 700. Si ajabu katapeliwa na wajanja na mzigo ukamwangukia yeye. Sad. Very sad [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mzima Mungu anasaidia. Sijui wewe majukumu huko.Mie pia,mzimaa?
Mzima Mungu anasaidia. Sijui wewe majukumu huko.
God's Plan.
Mzima kidogo hawa man u sio kabisa