Mzee wa kuliamsha dude[emoji16][emoji16][emoji16]
Ilikuwa ni killio wakati wa kumwaga leo walahi!
Madaktari na wanafunzi na maprofessor wote wamevaa majoho yao!
It was a spectacular wake na kuhuzunisha!
Huyu professor walikuwa wanamwita Nyerere kwa kuwa alikuwa hapendi makuu kabisa!
Sio nchi bali ni yeye mwenyewe. Anyway it’s totally sad!
Rip Professor!
Sawasawa
Man United
safiiiUtafaidi sana ukifika mahali hapaView attachment 851856
✔✔Ni wakati sasa wa kupumzisha akili