cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Hepatitis zote A,B,C,D na E zinasababishwa na virusi.A,B na C zipo common zaidi.What about A, C, D and E?
Thank you for the InfoHepatitis zote A,B,C,D na E zinasababishwa na virusi.A,B na C zipo common zaidi.
Sema B na C ndio zinasababisha chronic hepatitis.
Navyojua bado
Hamna chanjo ya HepC.
Kuna chanjo ya Hepatitis A na B.
Nilisisitiza chanjo ya HepB kwasababu iko prevalent Sana kwenye nchi zetu za sub-saharan Africa.
Anytime.Thank you for the Info
yaani me mpaka sahv najiuliza kwann sijaenda lakini?[emoji144]Like kama hukuenda church leo[emoji113]Mungu anatuona eti.
Mbona sikuoni chalii??Unachezea watumishi wa Muumba??Nani anazingua tena mwamba
Nini?!
Mkuu naomba tuusikilize wimbo huu una ujumbe wa upendo.Waaow hope so