D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kwa jinsi wanavyoshangaa ovyo inaonekana bado hawajakatiwa visa ya kwenda nchi za kiarabu au kwenye bombardia hawaingii?Ngorongoro conservation areaView attachment 853165
Wewe ni ID mpyamwezi mpya na ID mpya
je mimi ni nani?
Naelewa naelewa sana mkuu wala sina ubishi hapoKama unabisha jaribu siku moja halafu ulete mrejesho [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona umebadiri vazi mkuuKama unabisha jaribu siku moja halafu ulete mrejesho [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona unamuunga mkono mkuu NingeAaaa wapi....[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Watu wenye roho zao ngumuMBEYA:
BABA AMUUA MWANAE NA KISHA KUMFUKIA PORINI.
Jeshi la Polisi linamshikilia Geofrey Emilio Mwanganga(21) kwa kumnywesha sumu na kumuua mtoto wake, Prince Geofrey Emilio(5).
Chanzo cha tukio hilo ni mtuhumiwa kuhisi mtoto huyo si wake.
@Mohabbat par itna yaqeen
Jamani[emoji134][emoji134]MBEYA: