myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kama hivi😀weka likes na posti...
Hahahahaha! Mie mpenzi wa matobolwa kuliko michembe.Ndiyo....
Na michembe....
Na maziwa ya mgando....
Nakupa miezi mitatu halafu kapime uzito. Utashangaa.
Haya yakoje??Mapalaghe unayajua???
Yumo kwenye gari lake. Her private space bana [emoji16][emoji16][emoji16]Hilo ni kosa mkuu.
Amekaa uchi hadharani.
Shinyanga mkuu. Kuna hospitali pale imeshasaidia ndugu zangu wengi sana. Wako vizuri sana upande wa vidondaKolandoto iko mkoa gani?