Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimepigana dhidi ya mfumo wa utawala unaowapendelea makaburu, na nimepigana dhidi ya mfumo wa utawala unaowapendela weusi.
Nimekuwa na ndoto ya jamii ya kidemokrasia na huru ambayo watu wote wanaishi pamoja kwa mshikamano na fursa sawa. Ni ndoto ambayo nataraji kuiishi na kuitimiza. Lakini, kama itahitajika, hiyo ni ndoto ambayo nimejiandaa kupoteza maisha yangu kwa ajili yake.
 
Hivi WADAU wengine wanapitiaga hizi nondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…