Wanaume wengine wanachapa kazi kujaza pesa katika akaunti za benki na vipochi. Wewe kazi yako ni kumsumbua Mungu kila siku akupe mke. Mbona wataka kumleta binti wa wenyewe katika ufukara…amka, nenda ukatafute kazi.
mugabe
Pasta mmoja wa Nigeria alinichanganya sana akiwaambia watu: “leteni marafiki walio na *Demoni*”. Wakati huu wote nilifikiri ni mapepo kumbe alikuwa akimaanisha pesa!
mugabe