Hakuna mwalimu mzuri wa maisha hapa duniani kama shida, unapokutana na changamoto ndipo na akili yako inapanuka, dawa siyo kuzikimbia changamoto bali ni kukabiliana nazo.
Yale tunayoyawaza na kuyatafakari kwenye fikra zetu yana nafasi kubwa sana kwenye maisha yetu. Ikiwa tunataka kufanikiwa basi ni lazima tufikiri na kutafakari juu ya kufanikiwa.