D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,441 Kufahamu haitoshi, ni lazima tuweke kwenye matendo, Kutamani haitoshi, ni lazima tufanye.” Johann Wolfgang
Kufahamu haitoshi, ni lazima tuweke kwenye matendo, Kutamani haitoshi, ni lazima tufanye.” Johann Wolfgang
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,442 Mtu mwenye kujiamini ndani yake, anapata kujiamini kwa wengine.” Hasidic Proverb
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,443 Muda mzuri wa kupanda mti ni miaka 20 iliyopita. Lakini muda mwingine mzuri wa pili ni sasa.” Chinese Proverb
Muda mzuri wa kupanda mti ni miaka 20 iliyopita. Lakini muda mwingine mzuri wa pili ni sasa.” Chinese Proverb
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,444 Muda wako ni mdogo, usiupoteze kuishi maisha ya mtu mwingine.” Steven Jobs
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,445 Kushinda siyo kila kitu, lakini kutaka kushinda ni kila kitu.” Vince Lombardi
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Sep 4, 2018 #807,446 asubuhi njema, salam
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,447 Huwezi kuvuka bahari kama huna ujasiri wa kuacha kuona ufukwe.” Christopher Columbus
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,448 “Kuna njia moja tu ya kuepuka kukosolewa: usifanye kitu, usiseme kitu na usiwe chochote.” Aristotle
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,449 Anguka mara saba simama mara ya nane.” Japanese Proverb
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,450 Mlango mmoja wa furaha ukifungwa, mwingine unafunguliwa, lakini mara nyingi tunautazama sana ule uliofungwa na kushindwa kuona ule uliofunguliwa kwa ajili yetu.” Helen Keller
Mlango mmoja wa furaha ukifungwa, mwingine unafunguliwa, lakini mara nyingi tunautazama sana ule uliofungwa na kushindwa kuona ule uliofunguliwa kwa ajili yetu.” Helen Keller
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,451 Kila kitu kina uzuri wake, lakini siyo kila mtu anaweza kuuona.” Confucius
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,452 Kama unataka kujiinua mwenyewe juu, mwinue mwingine juu kwanza.” Booker T. Washington “Ili kufanikiwa, shauku yako ya mafanikio ni lazima iwe kubwa kuliko hofu yako ya kushindwa.” Bill Cosby
Kama unataka kujiinua mwenyewe juu, mwinue mwingine juu kwanza.” Booker T. Washington “Ili kufanikiwa, shauku yako ya mafanikio ni lazima iwe kubwa kuliko hofu yako ya kushindwa.” Bill Cosby
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,453 “Kila siku ninajitahidi kufanya vizuri zaidi kuliko nilivyo fanya jana.” Reginald Mengi “Mtu ambaye hajawahi kufanya kosa hajawahi kujaribu kitu chochote.” Albert Einstein
“Kila siku ninajitahidi kufanya vizuri zaidi kuliko nilivyo fanya jana.” Reginald Mengi “Mtu ambaye hajawahi kufanya kosa hajawahi kujaribu kitu chochote.” Albert Einstein
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,454 “Mtu anayesema hawezi kufanya hatakiwi kumwingilia mtu anayesema ninaweza kufanya.” Chinese Proverb “Haujachelewa kuwa ambaye ungeweza kuwa.” George Eliot
“Mtu anayesema hawezi kufanya hatakiwi kumwingilia mtu anayesema ninaweza kufanya.” Chinese Proverb “Haujachelewa kuwa ambaye ungeweza kuwa.” George Eliot
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,455 Unakuwa kile unachoamini.” Oprah Winfrey “Jenga ndoto zako wewe mwenyewe, la sivyo mtu mwingine atakuajiri kujenga zake.” Farrah Gray “Ota ndoto kubwa na dhubutu kushindwa” Norman Vaughan
Unakuwa kile unachoamini.” Oprah Winfrey “Jenga ndoto zako wewe mwenyewe, la sivyo mtu mwingine atakuajiri kujenga zake.” Farrah Gray “Ota ndoto kubwa na dhubutu kushindwa” Norman Vaughan
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,456 Ndoto zetu zote zinaweza kutokea ikiwa tuna ujasiri wa kuzifuata.” Wale Disney “Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.” Reginald Mengi
Ndoto zetu zote zinaweza kutokea ikiwa tuna ujasiri wa kuzifuata.” Wale Disney “Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.” Reginald Mengi
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,457 Fursa hazitatokea, unatakiwa kuziunda.” Chris Grosser “Usijaribu kuwa mtu wa mafanikio, bali jaribu kuwa mtu wa thamani.” Albert Einstein
Fursa hazitatokea, unatakiwa kuziunda.” Chris Grosser “Usijaribu kuwa mtu wa mafanikio, bali jaribu kuwa mtu wa thamani.” Albert Einstein
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,458 Akili kubwa hujadili mawazo, akili ya wastani hujadili matukio, akili ndogo huzungumzia watu.” Eleanor Roosevelt “Ikiwa hauthamini muda wako, hata wengine hawatauthamini. Acha kupoteza muda na vipaji vyako sasa – anza kuvifanyia kazi” Kim Garst
Akili kubwa hujadili mawazo, akili ya wastani hujadili matukio, akili ndogo huzungumzia watu.” Eleanor Roosevelt “Ikiwa hauthamini muda wako, hata wengine hawatauthamini. Acha kupoteza muda na vipaji vyako sasa – anza kuvifanyia kazi” Kim Garst
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,459 Mtu mwenye mafanikio ni yule anayeweza kujenga msingi imara kwa kutumia matofali yaliyotupwa na wengine.” David Brinkley “Usiinue sauti yako, boresha hoja yako.”
Mtu mwenye mafanikio ni yule anayeweza kujenga msingi imara kwa kutumia matofali yaliyotupwa na wengine.” David Brinkley “Usiinue sauti yako, boresha hoja yako.”
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,665 Reaction score 121,102 Sep 4, 2018 #807,460 Ninaamini kwamba ujasiri pekee mtu yeyote anaouhitaji ni ujasiri wa kufuata ndoto zako mwenyewe.” Orarah Winfrey “Fursa zina aibu, zinakusubiri uzikimbilie.” Reginald Mengi
Ninaamini kwamba ujasiri pekee mtu yeyote anaouhitaji ni ujasiri wa kufuata ndoto zako mwenyewe.” Orarah Winfrey “Fursa zina aibu, zinakusubiri uzikimbilie.” Reginald Mengi