Jameni wewe mdada wa ligi yamekua tena hayo? anyway nimependa ubao wa matokeo unapendeza zaidiView attachment 856939no way alisoma nyakati akaona atakosa kama kule world cup
kweli...5. Huongeza hamasa ya utendaji
Nani anapenda kufanya kazi akiwa amechoka? Naamini hakuna. Kupata muda wa kutosha wa kupumzika kutakuwezesha kujisikia vizuri na kuwa tayari kutekeleza majukumu yaliyoko mbele yako.
Ikiwa basi unataka kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa, ni muhimu kuhakikisha unapata muda wa kutosha wa kupumzika.
Ngoja niyatafuteTahadhali
Mafuta ya nyonyo yana harufu kali hivyo unaweza kuchanganya na kitu kingine kama mdalasini au mafuta mengine kupunguza harufu.
Morning kim chiuMorning