Karibu mkuu, nilivutiwa sana na zile nyimbo ulizo kuwa una post,ikanibidi nizikusanye audio kwa ajili ya matumizi ya baadaeThank u much
Kwa huyo kichwa ki nini sijui, kakuchanganya hata wimbo nilio kuwekea haujausikiliza?Mbona wivu sasa na wkt ww tushaachana.
Kwa huyo kichwa ki nini sijui, kakuchanganya hata wimbo nilio kuwekea haujausikiliza?Mbona wivu sasa na wkt ww tushaachana.
UsiogopeJiombee ufike wewe kwanza.....
Nimeusikiliza lkn sijakusamehe,labda hadi nimsikie kaka yangu shimba ya buyenze anasemaje khs hilo.Kwa huyo kichwa ki nini sijui, kakuchanganya hata wimbo nilio kuwekea haujausikiliza?
Hakuna shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umeniquote vibaya mkuu
Ndio jadi yanguUmefurahiiii
Tafuta mtaani kwakoYaani unakutana na manzi fake kwa kila kitu, ila huku ktk social networks anajifanya ni real.......Mweupe Outside, ila ngozi ingine ni Nyeusi huko inside...inakera
Nimekupata nimekupataHapana mkuu, ni wimbo wa kusifu ukiwa na majonzi. bbade hakuwa na hali nzuri ikanibidi nishirikiane naye kuimba
Nisiogope nini?Usiogope
Mihemuko fullHii nayo ipo
Post chochote upate likenimemic like jamani naombeni msipite bure jamani
UsiiacheNdio jadi yangu
AMUN RAIt's a new dawn it's a new day it's a new life and I'm feeling blessed
Karibu sana kichwa kichafu bado anakula au kalalaHabari ya muda huu