Huko dubai kuna ATM kwa ajili ya kutolea vitofali vya dhahabu. Je wajua kuwa utajiri huweza kuhifadhiwa kwa vipande au vitofali vya dhahabu? Basi huko dubai matajiri wanaweza kutoa vipande hivi kwenye ATM kama watoavyo pesa.
wanavaa utajiriWanawake wa India wanavaa asilimia 11 ya dhahabu yote iliyoko duniani. Hiki ni kiasi cha zaidi ya kilichoko Marekani, Uswisi, Ujerumani na IMF zikijumuishwa kwa pamoja.
kweliMansa Musa, kiongozi wa Dola ya Mali, alitumia dhahabu nyingi huko Misri aliyoishusha thamani na kukaribia kuharibu uchumi.