Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uko vizuri mkuuMWANZO 6:3
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
Kamwe usibet na pesa ya mkopo.
Hahahahaha! Sipatii picha pale mhindi atakapo ivuta [emoji23]Unaruhusiwa kubet hata kwa hela kukopa saccos[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]