Tatizo ni hiyo dhana ya uzuri. Haina sifa pambanuzi za kimajumui. Kila mtu ana sifa zake kichwani mkuu. Ndiyo maana mijadala hii huwa haina hitimisho...Kuna watu wamezaliwa kubisha arif. Sasa mtu anakataa eti kuwa chuga ni pazuri kuliko dar..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mwambie consuela akutafutie mmoja maana jirani zake haoHalafu hili sichana la Kihadzabe hili la kushoto zuri kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu habari yakoHahahahaha! Sipatii picha pale mhindi atakapo ivuta [emoji23]
Njema kabisa.Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu habari yako