Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni wachache wanaoweza kujikaza ktk hali kama tuionayoMmhhh Kaguta. Jikaze kamanda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 857917
Kaguta anakaribia kulegea aisee. Jenerali kabisa...Kweli Mungu Alituweza wanaume [emoji16][emoji16][emoji16]Ni wachache wanaoweza kujikaza ktk hali kama tuionayo
Huyu wakimpeleka kwenye mashindano ya kufakamia sausages watajuta. Wasukuma hoyeeee !!![emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ng'ombe mzima kachinjwa. Na majirani wamealikwa. Ni mtanange unaambiwa. Ukitoka hapo ni kwenda kujilaza kwenye kigunia upenuni mwa nyumba mpaka daijesheni ifanye kazi kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Arap Moi, Daniel