carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Upi huo?Muage kwa unyenyekevu
Ndugu haujui principle ya kuanzisha familia? Inasema hivi "kwakuwa babu alimuoa bibi, basi, baba atamuoa mama, mjomba atamuoa shangazi, kaka atamuoa shemeji/wifi, dada ataolewa na shemeji". Je, kuna sehemu yoyote imesema kaka atamuoa dada? Shauri yako.Nimeusikiliza lkn sijakusamehe,labda hadi nimsikie kaka yangu shimba ya buyenze anasemaje khs hilo.
AMUN RAUsiiache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu me ndo nimeacha ujue?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuachwa kuachwa,kuachwa ni shughuli pevu, mbaya zaidi, kwa yule uliye mpenda, wewe unakonda ,yeye ananenepa....kwa mawazooo..... lala.. lalala aaa
Kwema kabisa KaribuKwema wanajamvi wakati huu?
Nae atafute pa kukomaa sio huku na kuleNsamaka karudi atamfariji
Pamoja mkuuNi majukumu ya maisha ndo sababu tu
Mimi hata sijui kwakweli ila niliona kaaga hapa kasema hali yake ya leo si nzuri[emoji23] [emoji23]Karibu sana kichwa kichafu bado anakula au kalala
Hahahahaha mistari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuachwa kuachwa,kuachwa ni shughuli pevu, mbaya zaidi, kwa yule uliye mpenda, wewe unakonda ,yeye ananenepa....kwa mawazooo..... lala.. lalala aaa
Poa karibu tenaNaomba niwaage, shukrani kwa wote. ...nawatakia jioni njema na wiki njema ijayo.....jmosi tukijaliwa. ...
Amina. Mungu atujaalie tukutane tena mkuuNaomba niwaage, shukrani kwa wote. ...nawatakia jioni njema na wiki njema ijayo.....jmosi tukijaliwa. ...
Nipo mkuu GhazwatMambo mkuu wa dimba mzee wa liver
Wapi SHIMBELeo ni siku ya "Hawavumi lakini wamo"
Twende kazi mkuuBasi natimua nilikuja kusalimia tu.
Shimba ya buyenze nzogo kaka onishauri.Ndugu haujui principle ya kuanzisha familia? Inasema hivi "kwakuwa babu alimuoa bibi, basi, baba atamuoa mama, mjomba atamuoa shangazi, kaka atamuoa shemeji/wifi, dada ataolewa na shemeji". Je, kuna sehemu yoyote imesema kaka atamuoa dada? Shauri yako.