Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anaweza kufuta Bunge la nchi hiyo, amemwambia Spika Rebecca Kadaga kuwa asifikirie yuko Peponi anapokuwa Bungeni na anapaswa kufahamu chimbuko la Bunge hilo, mwaka 1971 - 1979 Uganda hakukuwa na Bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…