Mfalme kaongea walahiRais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anaweza kufuta Bunge la nchi hiyo, amemwambia Spika Rebecca Kadaga kuwa asifikirie yuko Peponi anapokuwa Bungeni na anapaswa kufahamu chimbuko la Bunge hilo, mwaka 1971 - 1979 Uganda hakukuwa na Bunge.
.Kuna mtu ameshuka kwenye kiwanja cha ndege Kizuri cha Bukoba, kisha akapokelewa kwa lami hadi uwanjani alipofika jukwaani eti serikali haijafanya kitu yani kiwanja cha ndege na barabara za lami hakuziona, tuwapuuze''.
KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA..
Afrika yetu ya leoMfalme kaongea walahi
Umenena kweli walahi!Vijana weusi wana nguvu ya ziada kutoka kwa Mola walahi, lakini wengi wao wanazitumia kwenye upuuzi!
Mwenye Enzi Mungu a tuongoze walahi!
Twiga anapaa walahi
AH!!!.........
MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA
ISIS hata bila kuangalia avatar
Mikaili Jakisoni!
Nelisoni Mandela na Fideli kasituro!
Dodi eli fayedi na purinsesi diyana!
na wewe umo?AH!!!.........