Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utajiri wa nchi hii hasa upo kwenye mbuga, tukifanikiwa kuishawishi Dunia kuja kujionea vivutio vyetu, hakika Tanzania itakuwa nchi nyingine kabisa. Na hivyo itakuwa tayari kutoa misaada kwa mataifa ya ulaya kama Serbia, Romania, Bulgaria, Cosovo, na nyingine za kilofa barani huko[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…