Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Taarifa toka Zambia zinasema China inajiandaa kuchukua kiwanja cha Ndege cha kimataifa cha Kenneth Kaunda ( ZIA ) hii ni baada ya kuhodhi Shirika la habari la nchi hiyo ( ZNBC ) pamoja na Shirika la Umeme ( ZESCO ) ikiwa ni baada ya Zambia kushindwa kurejesha mikopo ya China kwa Wakati
 
mwezi may 2018 deni la nje la Zambia lilifikia US$ 9.1bn karibu nusu ya lile la Tanzania linalofikia US$ 20.03bn, Chapo taarifa hizi zimekanushwa na Amos Chanda msemaji Wa Rais Edgar Lungu aliiambia VOA’s Daybreak Africa " ila wachambuzi wa mambo wanasema habari hizi si za kupuuzwa kwani zinaukweli ndani yake
 
Pamoja na kwamba Zambia inachangamoto za kiuchumi ila haijafikia kwenye mdororo Wa uchimi kiasi cha Mali za umma kutaifishwa na China Zambia imeamua kuficha deni lake kwa IMF, 2017/18 Zambia ilikuwa na deni linalokadiliwa kufikia US$ 12.45bn sawa na 47% ya Pato la Taifa (GDP ) la nchi hiyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…