myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kashfa zinaibuka kila siku..Si waoe tu yaishe?
Utakatifu huu wa kujisiriba majoho huku wamedindisha unawasaidia nini?
😂😂😂😂😂😂Safari nyingine mechi ikiahirishwa wakati injini ilikuwa imetokota usikae na huo uji. Pole sana na nafurahi kuwa tatizo hilo liliisha
Asanteh sana bro, lakini nina wasiwasi kidogo wenda tatizo likarejea maana uji haukutoka.Safari nyingine mechi ikiahirishwa wakati injini ilikuwa imetokota usikae na huo uji. Pole sana na nafurahi kuwa tatizo hilo liliisha
Ina maana tangu wakati ule hujagegeda bro? Si ungemuomba huyo huyo aliyeahirisha mechi aje alimalize tatizo alilokusababishia?Asanteh sana bro, lakini nina wasiwasi kidogo wenda tatizo likarejea maana uji haukutoka.
Asanteh mkuu
"Uji haukutoka" ...Ina maana nawe umeridhia tatizo lijirudie????Asanteh sana bro, lakini nina wasiwasi kidogo wenda tatizo likarejea maana uji haukutoka.
Hahahaha eee😀😀 Ushamiss kusalimiwa hivyo....
Vp upo Safi?
Bageeeeeeeeshiiiiiii huu ubuyu mkubwa aiseeeIna maana tangu wakati ule hujagegeda bro? Si ungemuomba huyo huyo aliyeahirisha mechi aje alimalize tatizo alilokusababishia?
Aiseeee"Uji haukutoka" ...Ina maana nawe umeridhia tatizo lijirudie????
Safi kabisa,hongera kwa kuponaAah dada yake za siku mingi