myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
dume, jike??
sawasawa..10. Hupambana na maradhi mengine
Kwa miongo kadhaa tafiti zimebaini kuwa maziwa huzuia magongwa kadha wa kadha. Magonjwa hayo ni kama vile shinikizo la damu na kiharusi. Inaaminika pia maziwa hupunguza lehemu (cholesterol) mwilini na kuongeza uwezo wa macho kuona. Baadhi ya watafiti wameeleza kuwa unywaji wa maziwa huzuia ania fulani za saratani.
hujambo binti. noah zimeyeyuka kama icecreamSerikali Noah zetu bado tu.
Hatari sanahujambo binti. noah zimeyeyuka kama icecream