Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9. TUPAC OMAR SHAKUR
Hili si jina geni kwa mtu yeyote mpenzi wa muziki hasa miondoko ya hiphop. Aliyepigwa Septemba 7, 1996 akitoka Las vegas Navada alikokwenda kuhudhuria pambano la Mike Tyson. Akiwa na Meneja wake Suge Knight (ambae pia anahusishwa na kifo hicho). 2pac aliuwa kwa kupigwa risasi kadhaa kifuani zilizotoka kwenye gari moja nyeupe iliyowazuia
kwa pembeni. 2pac alifariki siku chache baadae katika hospitali ya University Medical Center of Southern Nevada.
Wengi walihusishwa na kifo chake huku idadi kubwa ikimuelekea Christopher wales (B.I.G) kuwa ndiye aliehusika moja kwa moja na kifo caha 2pac. B.I.G aliuawa miezi sita baadae na watu waliodaiwa kuwa ni mashabiki wa 2pac kwa lengo la kulipa kisasi.
 
10 JUVÉNAL HABYARIMANA
Aliuawa baada ya ndege yake kushambuliwa na kuua watu wote waliokuwemo kwenye ndege hiyo akiwemo raisi wa wakati huo wa Burundi. Mauaji hayo ndiyo yalioamsha hasira za wanyarwanda hasa wahutu na kuanzisha vita dhidi ya watutsi na baadae mauaji ya kimbari.Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ufaransa, mauaji hayo yamefanywa na chama cha Rwandan Patriotic Front (RPC) na kumuhusisha raisi wa sasa wa rwanda paul Kagame ingawa kagame mwenyewe amekuwa akikemea vikali na kusema wafaransa wanajaribu tu kuficha uovu wao!
 
MAMBO KUMI (10) USIYOYAJUA KUHUSU ADOLF HITLER!

Nani Hamjui Dikteta Adolf Hitler? Adolf Hitler ni Mtawala Maarufu Zaidi katika karne ya ishirini, kiongozi wa chama cha Kinazi aliyeitawala ujeruman kati ya mwaka 1934 mpaka 1945.Kama ulikuwa hujui, hitler ndiye mwanzilishi mkuu wa vita ya pili ya dunia.

Yafuatayo ni Mambo Kumi Usiyoyajua kuhusu Adolf Hitler
 
1. Alipendelea zaidi kuangalia Filamu za mauaji, wafuasi wake walipenda kurekodi video pale walipokuwa wanawauwa wafungwa na kumpelekea Hitler!
 
4. Licha ya kufurahia Kuua sana binadamu, adolf alipinga sana ukatili wa wanyama, na alikuwa hali nyama ya aina yeyote ile!
 
4. Licha ya kufurahia Kuua sana binadamu, adolf alipinga sana ukatili wa wanyama, na alikuwa hali nyama ya aina yeyote ile!
 
5.Hitler aliokolewa kufa maji na mfanyakazi wa kanisa alipokuwa na umri wa miaka minne (4). na kwa kipindi hicho, hitler ilipenda saana awe mfanyakazi wa kanisa akiwa mkubwa!



6. Mpenzi wa kwanza wa Hitler alikuwa myahudi na aliona aibu kumueleza hisia zake. baadae aligeuka na kuamua kuua kila myahudi aliyekuwepo ujerumani, kasoro daktari mmoja ambaye alisaidia bure familia ya hitler kuwatibu kutokana na ugumu wa maisha kipindi adolf akiwa mdogo!
 
7.Akiwa jela, Hitler aliwahi kuandika barua kwenda kampuni ya mercedes benz akiomba mkopo wa gari!


8.Alishawahi kushindania tuzo ya nobel mwaka 1939!


9.Hakupenda aina yoyote ya michezo licha ya kupenda kutolea mifano ya kabumbu katika hotuba zake!
 
10. Adolf Hitler alikuwa na baadhi ya tabia za kike akiwa na umri mdogo, alikuwa pia na mwandiko wa kike. Vilevile hitler alipenda sana chokoleti kiliko vyakula vyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…