Ila Bonge anaimba aisee, na kuna jamaa mmoja mfupi hivi, ana sauti nzuri kweli Ila siku hizi simuoni hapo, Calabash pa ukweli sana, na kuna Yule dada akiimbaga gere mama ya The Kilimanjaro Band huwa ananikosha sana, siku hizi naona kama biashara yake sio nzuri sana Brother Milton, maana siku hizi za weekdays wahudumu wanapiga story wenyewe tu, labda ijumaa na jumamosi ndio hatari.