Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
George Weah - rais wa Liberia...Huyo black mbona ni kama okwi
alafu nije kwako ili wakinibamba kama yule jamaa wa udsm tuwe wote,safi sanaTangaza kua umetekwa
No mbili ni fasta atakuwa nyota1. Tembea uchi
2. Mseme vibaya Jiwe kwenye media. Yani ita vyombo vya habari halafu tena shombo zako kuhusu jiwe
3. Sema unatoka na Uwoya au una mimba ya Diamond
4. Jiteke
Sema ustaa wake atautumia zaidi jelaNo mbili ni fasta atakuwa nyota
Atapambana na hali yakeSema ustaa wake atautumia zaidi jela
jela au ahera, tumbav!Sema ustaa wake atautumia zaidi jela
Hahahahahaaajela au ahera, tumbav!
Mzee wa vipusa aka mzee wa matangoSalon muhimu...Mzee Kijana...Halafu sijataja jina la mtu mimi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 870839
mzigua tutafute ustaa pamoja kama sister fey na kiben10 chake kama vipi mana mi nina 20 years tu nowHahahahahaaa
Ngoja nipate hela ntakufanya kiben10mzigua tutafute ustaa pamoja kama sister fey na kiben10 chake kama vipi mana mi nina 20 years tu now
anza kudanga [emoji23][emoji23]Ngoja nipate hela ntakufanya kiben10
Nipe danga basianza kudanga [emoji23][emoji23]
bora nikuchukue mwenyewe,kuliko kugeuka kuwadi [emoji23][emoji23].nakuhonga goroka ila uridhikeNipe danga basi
Mi simoooo [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee wa vipusa aka mzee wa matango