natafuta umaarufu wakuu,nifanyaje? naomba ushauri wenu
dawa ya ustaa hakunaIngia kwenye fani ya sanaa. muziki au maigizo. Michezo, cheza mchezo unaoupenda na kuumudu mfano riacha, kuruka n.k. Kumbuka pia fani hizo zitakuongezea kipato.
Punguza ukali wa maneno,tumia tafsidaFilwa na domo au mtu yeyote maarufu simple as that!
akili za watu kaka,ndio zilipoishiaPunguza ukali wa maneno,tumia tafsida
mkuu wewe ni mtu safi sana,nimependa ushauri wakoIngia kwenye fani ya sanaa. muziki au maigizo. Michezo, cheza mchezo unaoupenda na kuumudu mfano riacha, kuruka n.k. Kumbuka pia fani hizo zitakuongezea kipato.
Very simple.......mseme tofauti Jiwe.natafuta umaarufu wakuu,nifanyaje? naomba ushauri wenu
Hizi mashine wazilete hapa bongoSi ajabu ni mwanajeshi wa Marekani huyu amepeleka "demokrasia" mahali mbaliii na nchi yake...
umaarufu ni hela pia,ukiwa najina unapata connectionwenzako wanatafuta hela.wewe unatafuta umaarufu.