Kwa maama hiyo ungependa tujifunze nini kutokana ujumbe wako huu?Mamlaka
Lolote utakalolifungua duniani na mbinguni limefunguliwa
Utakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa
Duh hii yanikumbusha kauli ya wahenga isemayo wajinga ndio waliwaoKuna watumishi mliokwishahamia Dodoma? Mganga huyo...
View attachment 866996
Haoo bila shaka ndio wale waitwao wanaume wa Dar
Heshima ya mtu ni kazi