Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Karibu sana bhagheshiEti taahira. Mapenzi yakiisha bana...
Kasalimie hako kapwa kangu. Nikipita Shinyanga nitafika kukaona [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wooow![emoji126][emoji126][emoji126]Habarini!
Hatimae nimepata mtoto wa kike.
Niliwamis sana.
Hongera sana Nsamaka!Habarini!
Hatimae nimepata mtoto wa kike.
Niliwamis sana.