Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Amina mpendwa wanguHongera sana Nsamaka!
Niwatakie afya njema wewe na mtoto na Mungu awalinde.
Hahahah yaan ole wake mbona katajuta.Wooow![emoji126][emoji126][emoji126]
Hongera bestie ake,akue katika njia ya kumpendeza Mungu.
Kale kajamaa naona kamepata wa kumpiga makonzi.
Hongera maa
Mwambie akunje nguo zake kabisa aweke kwenye bag safari imeiva.Hahahah yaan ole wake mbona katajuta.
Asante sana, hatimae nimemaliza safari