Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 874739 teh teh teh teh nimeamini kuwa sisi watanzania tumezodiana tu lakini wengi ni bichaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Kazi ipo !!!

[emoji344][emoji344][emoji344]Pipoooo. ziiiiiiiiiiiiiiiiii !!! [emoji344][emoji344][emoji344]
 
Aseee, mkuu SYB nawe tuletee taarifa kuhusu kufanana kwa kisukuma cha Mwanza, Geita, Simiyu, Shunyanga, Kahama, Mpanda na kwingineko
Kuna litasnifu limoja la shahada ya uzamivu kutoka chuo kikuu cha Leipzig Ujerumani limedadavua kila kitu nikilipata nitakutumia. Kinyantuzu ninachoongea mimi kina tofauti kidogo kifonolojia na kifonetiki na visukuma vingine...
 
Inauma sana mkuu wawili ni watu wakubwa kabisa na familia zao sijui itakuwaje walikwenda kusalimia tu ukara so pain wake za marehemu hapo tunafanya kazi ya ziada kuwatuliza kwa kifupi familia nzima yetu imeumia sana
Poleni sana. Haya mambo ya vifo vya ghafla haya yasikie kwingine tu yaani. Mungu Atawavusha...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…