Serikali haikwepi lawama mauaji haya ya wana ukerewe na ukara
Nakumbuka hata DC wa ukerewe ukiacha mbunge amepiga sana kelele kuhusu ubovu wa MV nyerere lakini wapi
Watanzania sisi tunajua kuomboleza tu kuchukua hatua hatuwezi
Wakati taa za kuhesabia kura hata umeme ukikatika zipo ila za kumulika watu waokolewe hazipo na zoezi lilisitishwa kwa sababu za kijinga
Halafu leo tunaambiwa kuna mtu katoka huko Akiwa hai