myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Namkubali sana huyu mama nabii. She is good preacher [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hatimaye kashinda...
Samsoni. Na maguvu yote haya akaishia kuangamizwa na mwanamke. Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai [emoji16][emoji16][emoji16]
Andaeitini hawataelewa !!!
Naona imeshaondolewa
Isije ikawa ndo wewe. Mpaka leo huwa najilaumu kwa kuchelewa kuinyaka picha yako halisi. Una bahati ya mtende [emoji16][emoji16][emoji16]