Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamke mbinafsi huyuuu kajipatia wanaune wote wawili kwa ajili yake... Acha wanawake wenzie wamuonee wivu si wakamripotii?. Kweli adui wa mwanamke😂😂😂.... Ila huyu mwanamke kiboko- - MWANAMKE AKAMATWA NA POLISI KWA KUISHI NA WANAUME WAWILI NDANI YA NYUMBA MOJA - Maurine Atieno mkazi wa Chamgiwadu Kaunti ya Migori nchini Kenya amekamatwa sambamba na Wanaume wake wawili kutokana na majirani kulalamikia kitendo hicho wakidai sio sahihi - Chifu wa eneo hilo David Onyango amesema mwanamke huyo amekuwa akiishi na wanaume hao kama waume zake wa ndoa kwa muda wa wiki mbili - Ndoa hiyo ya mitala kwa wanaume hao ilitokea pale baada ya Maurine aliyeolewa na Robert Ochieng kurudi nyumbani akiwa na mpenzi mpya - Alimtambulisha kwa jina la John Ochola aliyempata kwenye shughuli zake za kuuza samaki huku akimtaja kuwa ni mteja wake muaminifu na kuamua kuishi nao wote kwa pamoja - Hata hivyo uongozi wa kijiji umesema hakuna sheria ambayo inaweza kutumika kuwashtaki, isipokuwa wataangalia namna ya kuwatenganisha ili kuepusha majanga yoyote yanayoweza kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…