Mimi sina dini bali namwamini MWENYE ENZI MUNGU!Mkuu nikuulize swali moja binafsi
Wewe ni dini gani mkuu??
Ni mtu wa Budha au New Age ???
Umekuwa ukitumia sana neno walahi mara kwa mara nikadhani pia ni Muislamu wa swala tanoMimi sina dini bali namwamini MWENYE ENZI MUNGU!
Fuatilia hiyo comment huko juu utajua swali langu lamaanisha niniZi nini??
Beautiful walahi
HahahahaUmekuwa ukitumia sana neno walahi mara kwa mara nikadhani pia ni Muislamu wa swala tano
He he he heFuatilia hiyo comment huko juu utajua swali langu lamaanisha nini
He he he heHahahaha
Kila sekunde niko na Mwenye Enzi Mungu walahi
Sikutegemea ungejibu hivi[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sina dini bali namwamini MWENYE ENZI MUNGU!
Ndugu yangu ndio iliyobaki kuwa positive na uhai wa mtu ndio utukufu wa Mola walahiHe he he he
Haya mkuu.
Nimekupata vyema kabisa mkuu
Jamani kwa nini?Sikutegemea ungejibu hivi[emoji23][emoji23][emoji23]