Kuna Wataalamu wa kubeti humu na huwa hawakoseagi. Ngoja kwanza nikaombe ushauri.
Mashabiki wa "This is Livapuu" mnasemaje? moudgulf tia neno. mzee wa liver...
I would like to see the end of this graph...Growth....
Nasema tena: Horibo pikicha...Sadistic [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Picha ya siku na wiki nzima kwa ujumlaView attachment 881301
I would like to be able to finish it walahiI would like to see the end of this graph...Growth....
Naamini unaweza kujitetea kwa majibu tofauti,Hahahahaha!! Sasa hayo mabati yanachagua kujeruhi usoni tu ??
Hahahahaha!Naamini unaweza kujitetea kwa majibu tofauti,
Lakini Wewe mwenyewe utakua unaamini unaowaambia hawayaamini majibu yako.
Taarifa zitamfikia na akiiona hiyo picha anaweza kuchukua hatuaKapotea sana Andjul
Somewhere, somehow we Africans lost our innovative edge
Hahahahaha!! Bila shaka huko aliko uzima upo tele.Taarifa zitamfikia na akiiona hiyo picha anaweza kuchukua hatua
Mfikishie taarifa abadiri mtindo wa maisha yakeHahahahaha!! Bila shaka huko aliko uzima upo tele.