Hahahahaha!!
Nitamfikishiaje taarifa mkuu?? Simuoni Jf, na vile vile yawezekana mtindo wa maisha aliouchagua ndio sahihi kwake.Mfikishie taarifa abadiri mtindo wa maisha yake
Wanasema: Ukitaka sura nenda Uhabeshi na kidogo Rwanda ila ukitaka misambwanda nenda Sauzi
Wako high mbaya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe mtumie picha tu nadhani hatabaki hivyo alivyoNitamfikishiaje taarifa mkuu?? Simuoni Jf, na vile vile yawezekana mtindo wa maisha aliouchagua ndio sahihi kwake.
Wako sahihiWanasema: Ukitaka sura nenda Uhabeshi na kidogo Rwanda ila ukitaka misambwanda nenda Sauzi
Ni sawa na wakati ule. Mtu umedokoa nyama. Na umeenea mafuta (mazezele) laivu lakini utakavyojitetea sasa.Naamini unaweza kujitetea kwa majibu tofauti,
Lakini Wewe mwenyewe utakua unaamini unaowaambia hawayaamini majibu yako.
Simba wa Sayuni namuona hapo mlangoni...
Akipita JF ataiona..Wewe mtumie picha tu nadhani hatabaki hivyo alivyo
Mungu ni mwema. Abiria wote walitoka salama
Siasa za Kenya nazo ni kizungumkuti
Huyo akipona hatorudia tena mchezo huo hatari!Akipita JF ataiona..