Paiausbe vigruuuSkanzvsg vigro?
Umejulia ngoja inavyodunda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mimi nashangaa MkuuLikes zimepungua au watu wameenda kulala
sammyluv leo sina mengi ila leo ndio nimejua naomba unielewe sina mbwembwe haya makosa nitayacompasate nipe hata masaa mawili tu mengine nadhani utasema weweAlisema kakuacha halafu asubuhi nimewafumania
Unafata mdundo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha uoga wa kwenda kazini, kazi ni zilezile na boss ni yule yuleNa muda wa kulala unasogea
Kusema kweli ni mahali pazuri pa ku-rewind, kucheka na ku-reflect...Huu uzi unanipa raha kwakweli
Kama kawaidaUnafata mdundo
Mzee wa nywele nyingiCarles Puyol
Huyu dogo alishastaafu soka ama?Samuel Eto'o
Koh kohsammyluv leo sina mengi ila leo ndio nimejua naomba unielewe sina mbwembwe haya makosa nitayacompasate nipe hata masaa mawili tu mengine nadhani utasema wewe
Twajikongoja kidogoLikes zimepungua au watu wameenda kulala
Nilikuwa naikubali sana ile beki, sitasahau ile Final pale Wembley dhidi ya Man UAna mke bomber sana huyo
PasiansiMwanza