Jana tulikuwa na PROFFESA wetu kule chuo.
alafu akatuambia "kazi ya udaktari inahitaji vitu viwili KUTOKUWA na KINYAA NA UMAKINI.[emoji855][emoji855]
alafu akachukua kidole chake akaingiza matakOni kwa MAITI kisha akakilamba....[emoji23][emoji23]
kisha akatuamuru na sisi tufanye.......basi sisi wote tukaingiza vidole vyetu na tukalamba. [emoji23][emoji23]
akatumbia kwenye KUTOKUWA NA KINYAA mmefaulu..[emoji23][emoji23]
ila kwenye umakini MMEFELI maana mimi niliingiza kidole cha kati nikalamba cha PILI yake[emoji23][emoji23]
ila nyie mmeingiza cha kati na mmelamba hicho hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
YAANI MPAKA SAIV CJUI YULE DAKTAR ANA HALI GANI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]