CHAKULA.
Wakati homoni zikiwa na tatizo mwilini mwako utaelewa tu , maana kuna dalili utaona , mara utasikia kuchoka bila sababu , uzito kupungua, hutapata usingizi vizuri usiku,nguvu zinapungua na kuwa na mawzo mengi.
ukiona dalili hizi ujue kuna tatizo la homoni mwilini, unatakiwa kufanya vifutavyo,
1 .fanya kumuona dakitari kwa check up
2.angalia chakula unachokula .
Mara nyingi vyakula tunavyokula sio vya msaada kama dawa, havitusaidii kuweka homoni sawa,uwezo wa kutengeneza homoni za mwili hupungua kutokana na vyakula tunavyokula. vyakula vifuatavyo vinasaidia.CHAKULA.
Wakati homoni zikiwa na tatizo mwilini mwako utaelewa tu , maana kuna dalili utaona , mara utasikia kuchoka bila sababu , uzito kupungua, hutapata usingizi vizuri usiku,nguvu zinapungua na kuwa na mawzo mengi.
ukiona dalili hizi ujue kuna tatizo la homoni mwilini, unatakiwa kufanya vifutavyo,
1 .fanya kumuona dakitari kwa check up
2.angalia chakula unachokula .
Mara nyingi vyakula tunavyokula sio vya msaada kama dawa, havitusaidii kuweka homoni sawa,uwezo wa kutengeneza homoni za mwili hupungua kutokana na vyakula tunavyokula. vyakula vifuatavyo vinasaidia.