Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata huyo mwingine ni mama wa mtu..
Muktadha mama. Muktadha. Mawasiliano. yanategemea muktadha [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Mfano kama mimi. Mwanamke pekee ninayemtegemea awe na huruma ya kweli kwangu ni mamangu pekee. Akina mama wengine huko nao watahurumia watoto wao...

Is this too deep to comprehend?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…