Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

sammyluv[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] kuna mengi ndio maana nakwambia mapema.
Mkuu sio kwamba namtaka Sammy sababu ni bikira au hajawahi kupendwa, hata awe na watoto 5 wa baba tofauti sijali hilo..NINAMTAKA HUYU MTOTO.
ameumbwa kwa ajili yangu, wote walionitangulia kumjua ni waharibifu..
sammyluv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…