capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kujipiga msasaSawa...ila....
Kiswahili siyo lugha yangu ya mama...
Badala ya kuchamba tunaweza tumia kujisafisha ama kuna neno jingine? Kujisafisha lina unafuu wo wote?
********************
Dictionary TafadhaliIs using a tie between two quarter different from playing a half?
Weka pichaNakuna nazi kwa mkongojo[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Mwenyewe kajiweka kwenye maji madogo na anajifanya kuogeleaHuyo kibonge anajua kuogelea? Ndo wanazamaga hivi hivi !!!