Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama hawa ndo umewakamata kwenye siriisamu bro umewachochea wamewaka. Unaweza fikiri hakuna kifo aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi huwa siangalii jina huwa naweka like kwa kila post iliyo mbele yangu. Nimelike mkuu ila itachukua muda mpaka ukirefresh browser/app yako ndiyo like yangu itaonekana. Karibu tuendelee kufurahiHujalike post yangu lakini
UbarikiweMimi huwa siangalii jina huwa naweka like kwa kila post iliyo mbele yangu. Nimelike mkuu ila itachukua muda mpaka ukirefresh browser/app yako ndiyo like yangu itaonekana. Karibu tuendelee kufurahi
Hawa models kutoka Sudan ya Kusini wako in high demand na wanafanya vizuri. God bless them kwa kujikubali utu wao.Gorgeous .
Hawa models kutoka Sudan ya Kusini wako in high demand na wanafanya vizuri. God bless them kwa kujikubali utu wao.