Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimemwonyesha babu picha ya IGP na nikamuuliza babu unahisi hii picha imepigwa saa ngapi akanijibu saa 4 au saa 5 asubuhi na mimi bila hiyana nikamwambia babu hii picha ni ya saa 11 asubuhi, amenirushia kiatu na kuniambia "naona nimekuwa bibi yako siku hizi sio? 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…